Nahitaji mbaazi na mahindi ya njano

kunako

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
44
Reaction score
18
Wanajanvi nahitaji mahindi ya njano na mbaazi mwenye nayo hayo mazao tajwa hasa akiwa Dar itakuwa nzuri 0715912123 tuwasiliane tafadhali
 
Unahitaji kiasi gani hayo maindi ya njano.
 
Wanajanvi nahitaji mahindi ya njano na mbaazi mwenye nayo hayo mazao tajwa hasa akiwa Dar itakuwa nzuri 0715912123 tuwasiliane tafadhali
Mbaazi unanua kwa being gan kilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…