BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Hamna connection wadau?
Ngoja nikutafutieHabari wakuu,
Ninahitaji mbao za mkongo au mninga, napatikana Dar lakini sihitaji kununua Dar kwa kuwa gharama ni kubwa.
Nimeambiwa mninga unapatikana zaidi Tabora na Mkongo unapatikana zaidi kusini (Mtwara).
Hivyo kwa mwenye connection ya mtu wa uhakika kati ya Mtwara/ Tabora naomba aniunganishe nae ili niwasiliane nae nikazifate huko. Utaratibu wa usafiri na vibali nitashughulika navyo mimi.
Asanteni
0784312904Habari wakuu,

Anataka Mkongo au mninga!!Ninao mti wa mvule Dar, nikuuzie uchane mbaoView attachment 2241926
Muuzaji anayemuona mteja ni mtu msumbufu ujue amesha shibaUnahitaji kiasi gani na lini maana wateja wengi wasumbufu
Nitashukuru sana mkuuNgoja nikutafutie
Muuzaji anayemuona mteja ni mtu msumbufu