Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inachukua muda gani kuanzia kupanda hadi kutoa matunda?Wacheki hawa jamaa.........
Ipb9 Carina Papaya. A.K.A California Papaya ni Mkombozi Kwa Wakulima wa hili zao.
√Hutoa matunda 80-120 Kwa mche, kwa mwaka.
√ Life span ya mti ni miaka 3.
√ Matunda yake yakichumwa yanaweza kustahimili zaidi ya siku 25 bila kuharibika.
Kwa mahitaji ya Mbegu usisite kuwasiliana nasi Kwa simu no +255783621780(whatsapp line)
Tupo Kiseke, Mwanza
Karibuni wote