Wacheki hawa jamaa.........
Ipb9 Carina Papaya. A.K.A California Papaya ni Mkombozi Kwa Wakulima wa hili zao.
√Hutoa matunda 80-120 Kwa mche, kwa mwaka.
√ Life span ya mti ni miaka 3.
√ Matunda yake yakichumwa yanaweza kustahimili zaidi ya siku 25 bila kuharibika.
Kwa mahitaji ya Mbegu usisite kuwasiliana nasi Kwa simu no +255783621780(whatsapp line)
Tupo Kiseke, Mwanza
Karibuni wote