Nahitaji mbolea aina ya NPK

Joined
Apr 15, 2012
Posts
66
Reaction score
9
Habari zenu wanajukwaa!
nahitaji mbolea aina ya NPK mifuko 50. natanguliza shukurani kwa yeyote anayefahamu ninapoweza ipata kwa bei nzuri hapa DSM ani pm au tuwasiliane kwa 0758127558
 
NPK ya ratio ipi? Pia unataka NPK ya kuweka kwenye mazao ya bustani au nafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…