Nahitaji Mbolea aina ya Urea kutoka Mbeya

Nahitaji Mbolea aina ya Urea kutoka Mbeya

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,648
Reaction score
18,742
Kwa wale wanao ishi maeneo ya Mbeya mjini wapi nitaweza kupata duka la kuuza mbolea aina ya Urea jumla na rejareja (mbolea ya chumvi)?

Msaada wenu unahitajika!
 
Duka la mhindi (jina nimelisahau), jirani na geti la nyuma la Mzumbe University.
Duka linaangaliana na guest house moja hivi... jina sikumbuki.
Huwezi potea.... jaribu
 
Duka la mhindi (jina nimelisahau), jirani na geti la nyuma la Mzumbe University.
Duka linaangaliana na guest house moja hivi... jina sikumbuki.
Huwezi potea.... jaribu

hata pale sido lipo(jina nimesahau)
 
Back
Top Bottom