Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
7,743
Reaction score
13,657
Waungwana Habari!!

Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue

Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate

Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia?

Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea

Nakutakia Jumapili njema!!
 
Back
Top Bottom