Nahitaji mchai chai kilo 500

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,302
Reaction score
7,815
Heshima kwenu wakuu.
Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass)
Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua

Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
 

Attachments

  • IMG-20250303-WA0014.jpg
    35.8 KB · Views: 2
Maana yake unahitaji Jumla Ya kilo 500 kg , Nusu Tani za Mchaichai Mbichi.

Kwa aulivyo andika ni kama Kilo 1 shilingi 500.

Anyway Kama utaweza kunipa Mrejesho wa Kg ulizopata hadi sasa.

Asante sana.
🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…