Patrick Elias
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 332
- 108
Awe anayependa kupendwa siyo anayependa kuhongwa. Akiwa Mwanza itapendeza zaidi. Niko serious sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rangi yoyote lakin awe mzuri. Ila sasa asiwe mweusi tii kama wasudanVigezo ni vipi? Chura , rangi iweje?
Ok kila rakheri mkuu mimi sina vigezo ningekuja, hapo kwenye uzuri ndiyo tatizoRangi yoyote lakin awe mzuri. Ila sasa asiwe mweusi tii kama wasudan
Duuh!!!!Ok kila rakheri mkuu mimi sina vigezo ningekuja, hapo kwenye uzuri ndiyo tatizo
Mmh wewe si ndiyo unahitaji na mwenye chura kabisa🤔Duuh!!!!
Mi sina vigezo vingi, njoo PM tuyajenge.
Chura sio kigezo kwangu, njoo bana huu mwaka uwe wetu.Mmh wewe si ndiyo unahitaji na mwenye chura kabisa[emoji848]
Pengine ukawa mzuri kwangu ingawa wewe unajiona mbaya, Njoo PM tuyajenge, sawa ee.Ok kila rakheri mkuu mimi sina vigezo ningekuja, hapo kwenye uzuri ndiyo tatizo