Nahitaji mchumba mkristo

Nahitaji mchumba mkristo

Tony Jonas

New Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
1
Reaction score
2
Jina: Tony Jonas
Miaka: 26
Kabila: mhaya
Elimu: Diploma, Engineer machenic (bado sijaajiliwa
Kazi kwa sasa (fani nyingine ya kipato); Naendesha magar pia mda wa ziada naendesha boda
Dini: mkristo
Makazi: Dar es salaam
Kimo: maji ya kunde, murefu, mwembamba

Dhumuni kuu; naitaji kumupata mchumba atakae nielewa kwa Kila kitu (uchumi kwangu kawaida) ofu ya Mungu iwemo ndani yake

Bint mulengwa nae muhitaji
Miaka: awe chini yangu
Kabila: lolote
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote
Dini: mkirsto (kanisani Ndoa) mhimu
Makazi: Dar es salaam
Kimo: chochote

Dhumuni kuu kwake: awe nauitaji thabiti mwenye nia na lengo.

Mawasiliano: tonyjonas067@gmail.com

Asante.
APS%20HJ66%20(3).JPG
 
Back
Top Bottom