Nahitaji mchumba / mwanaume ambaye ni HIV+

Nahitaji mchumba / mwanaume ambaye ni HIV+

Usisahau kuja kutupa mrejesho iwapo umeshampata. Mimi nimekosa sifa moja tu.(HIV Neg).
 
Habari zenu mimi ni mwanamke wa miaka 32 narudi tena kwa mara nyingine nahitaji mchumba/ mwanaume ambaye ni HIV+ sifa zifuatazo:
Awe: mwanaume
Umri:33-36
Awe: amejiajiri/ kuajiriwa
Awe: tayari kuanzisha familia
Asanteni.
Naweza kukuunganisha na mtu
 
Habari zenu mimi ni mwanamke wa miaka 32 narudi tena kwa mara nyingine nahitaji mchumba/ mwanaume ambaye ni HIV+ sifa zifuatazo:
Awe: mwanaume
Umri:33-36
Awe: amejiajiri/ kuajiriwa
Awe: tayari kuanzisha familia
Asanteni.
Nikupongeaza kwa kuwa kuwa muwazi nina Ndugu anahitaji mtu wa status yako Njoo dm tuyajenge hutajuta maana as a familia tulishakubaliana yukonwazi kama Weee nanhiso sifa Anazo zote
 
Habari zenu mimi ni mwanamke wa miaka 32 narudi tena kwa mara nyingine nahitaji mchumba/ mwanaume ambaye ni HIV+ sifa zifuatazo:
Awe: mwanaume
Umri:33-36
Awe: amejiajiri/ kuajiriwa
Awe: tayari kuanzisha familia
Asanteni.
Ngoja nikapime
 
Back
Top Bottom