Nahitaji mchumba Sio masihara

Kumbe mzee ni mmenye,safi sana ,hakuna wa-tz wanaoishi japenga!
 
dadadeki hivyo vigezo mh,...km mfupi ndo bas tena dah,halafu hilo jina la sokwe linanitisha!.......teh teh
 
Duh nina 155cm too short! C rizki
 
kwa hizo code number najua utawapata wengi sana,pitisha chekecheke la maana
 
Nimelipenda bandiko lako ghafla! Ila sasa watoto watafata dini ipi kama wewe dini kwako siyo issue? Je mkioana mtaishi wapi? Na je katika hatua za mwanzo zakufahamiana na kupima afya mtakutania wapi kutekeleza haya? Japo najua mawasiliano yataanza electronically still kukutana nako kutahitajika. Na wewe vipi wasifu wako? Mrefu kiasi gani? je mweusi au mweupe, presentabla au, unatumia kilevi? unavuta sigara? Nadhani ukijibu maswal haya hapa jf itakupunguzia kazi ya kushort list sbb wataaplly wale tu walioridhika na sifa zako! hahaha

Ni mimi sunshine potential candidate!! Tehe tehe....


 

weka picha nikupe shangazi yangu
 
Kudadadeki.......bonge la pande......ningekuwa badobado ningelikatia.......
 
Ogenki de suka?ukiweza denwa chodai ni PM nikupatie mke,mimi nimekaa sana hapo AYASE,na KITA-SENJU wewe ukiweza
PM nikupe mke!!!!!!
 
Duh HIGH level? Angalieni tu msije kupiga simu kampuni za kuuza magari
 
vigezo nimekidhi ila sijui urefu wangu sijui ni cm ngapi kwa kwenda juu
 
kigezo kimoja kikipungua utanizingatia? au lazima vitimie vyote vuuup kwa mpigo?
 
Kwa usomi na exposure kubwa ya ng'ambo kumbe bado unahitaji kutumia JF kutafuta mke!
 
Dah..! Mie nina vigezo vyote ila hilo jina lako SOKWE.. Mmmh.. Naogopah..!!
 
haaaya mama yangu kanikosesha bahati kwa kuto nizaa mapema angekua wangu huyo jamani yaani tofauti ya miaka 2 kudadadeki looo basi chukua hata kuanzia miaka 23 jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…