Nahitaji mwanamke aliyesoma/ mfanyabiashara/ anajitegemea/ mwenye cheo chake. Miaka 26 - 35.
Nipo Dar, nimejiajiri.
Navutiwa na;
PM kama upo tayari na kuongozwa na mwanaume jasiri.
Nipo Dar, nimejiajiri.
- Kiongozi na mtawala.
- Cuddling expert.
- Nimetembea mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k.
- Napenda kucheka, kuchangamka, kufurahi na kuchombezana.
- Furaha yangu ni kusaidia watu kuwa bora zaidi maishani mwao. Kuwasaidia ambao hawakuwa na bahati pia.
- Muda mwingine nakesha ninaponogewa kusoma vitabu vizuri.
Navutiwa na;
- Mwanamke mtiifu na anajiheshimu.
- Tako zuri na hips.
- Anayejiamini katika uzuri wake na anapenda uanamke wake.
- Tabasamu na sati nyororo.
- Mwanamke anayejiamini na mwenye mipaka.
- Mwenye afya nzuri na anajitunza.
- Mwanamke anayeweza kueleza vile anavyojisikia.
- Msafi na mwenye kujithamini.
- Mchangamfu, mwelewa na anapenda kufurahi/kujirusha.
PM kama upo tayari na kuongozwa na mwanaume jasiri.