Nahitaji mchumba wa kike ili baadae awe mama wa familia

Nahitaji mchumba wa kike ili baadae awe mama wa familia

Daud Johnson

Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
41
Reaction score
14
Habari wanajukwaa? Hitaji langu kuu ni kama nilivyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 26, naishi Dar es salaam kikazi na makazi kwa ujumla. Kitaaluma ni mwanasheria, Elimu yangu ni diploma leval ila kwa sasa nimejiajiri katika mradi binafsi hivyo napambana na maisha kadri iwezekanavyo. Lakini hitaji langu kubwa kuja mbele yenu ni kumpata rafiki wa karibu/mchumba ambaye hapo baadae tuweze tuweze kufunga pingu za maisha.

. Vigezo
:Awe mcha Mungu
:Awe na ujuzi flani pamoja na kujitambua
:Awe muwazi katika mambo ya msingi/muhimu
:Awe anatambua thamani upendo
:Awe mvumilivu
:Awe na umri kati ya 18-24
:Awe mkristo

#Do the best and God will do the Rest. Thank you.
 
Back
Top Bottom