Nahitaji mchumba wa kike

Joined
Jan 22, 2021
Posts
14
Reaction score
18
Nina miaka 29, mfanyakazi kwenye NGO inayohusika na mambo ya UKIMWI, Nahitaji mchumba awe na umri kati ya miaka 18-25, awe hajawahi kuolewa asiwe na mtoto au watoto, asiwe mfupi sana maana ni changamoto, kabila lolote lile na dini yoyote ile ila awe tayari kuambatana na mimi kiimani, awe mcha Mungu na kuhusu kazi sio lazima awe na kazi au elimu kubwa kikubwa awe na uwezo wa kuendana na kasi yangu ya kimaendeleo.

Kwa aliye serious anakaribishwa
 
Mambo naitwa Rose Nitumie no yako ya Whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…