Sorry sina, nipo kawaida tu kama nilivyoainisha kwenye huo wasifu wangu, kila rakheri.Sifa zako ni nyingi ulizozotaja na Mimi nikuulize je kalio unalo la kutosha kama la masogange? kama ni ndio usiendelee kupoteza muda njoo inbox tupange mipango ya ndoa itakuwaje?
Ok! sio rizki,anyway je unazo nguvu za kike walau nijilazimishe kukufuata inbobo?Sorry sina, nipo kawaida tu kama nilivyoainisha kwenye huo wasifu wangu, kila rakheri.
Please mkuu be serious basi, we jua tu sio rizki kama ulivosema. Jpili njema.Ok! sio rizki,anyway je unazo nguvu za kike walau nijilazimishe kukufuata inbobo?
Mbona unapata moto si unajua ndoa kuibembeleza wenzio napima tutawezana kweli?Please mkuu be serious basi, we jua tu sio rizki kama ulivosema. Jpili njema.
Wamalizie shule ya msingi Kwanza [emoji16][emoji119]
Basi hadi hapa nahisi hatutawezana na nimekubali, hizi unazofanya ni dhihaka na si kunipima🙌Mbona unapata moto si unajua ndoa kuibembeleza wenzio napima tutawezana kweli?
Mbona ukifuatwa pm hauko active kwenye conversation??? Au nawe umekuja kujaribu kuona wahitaji wangapi???Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wafupi wenzio
Hawatutaki nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wafupi wenzio
Amen, ahsante
Hivi bado tu?Amen, ahsante
Ndiyo bado, karibu.Hivi bado tu?
Nazani Nina sifa unazohitaji! Pia nami ninauhitaji kweli!Ndiyo bado, karibu.