Nahitaji mchumba wa kuoa

Nahitaji mchumba wa kuoa

Joined
Sep 8, 2019
Posts
22
Reaction score
19
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 18-25.
Awe mwenye upendo na anayejali
Elimu sio kigezo sana ili mradi awe muelewa
Mimi nasoma Masters Degree kwa sasa Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Kama kuna mtu yuko interested ana PM then tutapeana contacts
Best regards
 
Back
Top Bottom