Nahitaji mchumba wa kuwa nae kwenye mahusiano

Nahitaji mchumba wa kuwa nae kwenye mahusiano

Tokiwa

New Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
3
Reaction score
5
Mimi ni kijana wa kiume
Sifa zangu
Umri miaka 28 nipo mbeya
Elimu degree
Mtumishi wa umma
Mrefu
Maji ya kunde
Naitaji mwenza wa kuwa nae kimahusiano na baadae awe mke wangu wa ndoa
Sifa za mwanamke awe
Na miaka 22-25
Awe na akili timamu
Elimu kuanzia kidato cha. Nne
Asiwe na mtoto
Karibu pm
 
Mrefu una futi ngapi?

22-25 umri huo bado wako kwenye pic yao humu kuna manungayembe 30+ na wana watoto tayari.🚶🏿🚶🏿
 
Back
Top Bottom