Nina miaka 29, nahitaji msichana alie serious na yuko tayari kuolewa ndani ya mwaka mmoja. Atleast awe na kazi inayompa rizki yake (not neccessary).
Umri kuanzia miaka 21_25. Dini sio kikwazo.
Mengine tutamalizana DM.
Just be serious
Karibuni wadada.