Nahitaji mchumba....

Nahitaji mchumba....

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, mrefu wa wastani, mcheshi, mtanashati, mtu makini, mkristo na nina elimu ya chuo kikuu. Nahitaji binti mkristo, mcheshi, mweupe, asiwe mnene, miaka 18-23, kidato cha sita na kuendelea, akiwa mchaga ni added advantage.

tutaaminije kama kweli we ni mtanashati? Weka photo.

mnamuingiza mwenzenu chakani aweke photo kama yule mkaka aliyeweka hapa photo zake haahhhahah anayetaka kuuona u smart wake si am PM tu....?

Aaah aah JF ina mambo! Juzi mmempeleka chaka B.O.G<sijamwona mkareee> mnadhani mtanikamata na miye? Huo ndiyo ukweli, kuweni na imani tu.

mnamuingiza mwenzenu chakani aweke photo kama yule mkaka aliyeweka hapa photo zake haahhhahah anayetaka kuuona u smart wake si am PM tu....?

Upo we mdada? Thread ya B.O.G nimeifuatilia mwanzo mwisho, nikaona ulivyomdondokea Ivuga na yale magari.. lol

weka picha ..wadada kibao hapa JF wapo hawana watu aisee...i wish you kila la kheri

Upo we mdada? Thread ya B.O.G nimeifuatilia mwanzo mwisho, nikaona ulivyomdondokea Ivuga na yale magari.. lol
we jamaa tulia .. wadada wengi wa hapa JF wanapenda mtu aweke picha yake

Upo we mdada? Thread ya B.O.G nimeifuatilia mwanzo mwisho, nikaona ulivyomdondokea Ivuga na yale magari.. lol

hahaha kanichomolea na magari yake,wewe je unayo??kama unayo hesabu umepata mke na thread tufunge lol

miye namilik baiskeli na shamba la migomba, nitawawekea picha punde.

miye namilik baiskeli na shamba la migomba, nitawawekea picha punde.[/QUO

tunasubiri picha lol,usijali kila mtu mungu kaumba wa kufanana naye.....wewe endelea kutafuta kwa bidii wa kwako yupo mahali anakungoja

Back
Top Bottom