Mimi ni kijana mwenye miaka 25, mrefu wa wastani, mcheshi, mtanashati, mtu makini, mkristo na nina elimu ya chuo kikuu. Nahitaji binti mkristo, mcheshi, mweupe, asiwe mnene, miaka 18-23, kidato cha sita na kuendelea, akiwa mchaga ni added advantage.

mnamuingiza mwenzenu chakani aweke photo kama yule mkaka aliyeweka hapa photo zake haahhhahah anayetaka kuuona u smart wake si am PM tu....?
we jamaa tulia .. wadada wengi wa hapa JF wanapenda mtu aweke picha yake

Upo we mdada? Thread ya B.O.G nimeifuatilia mwanzo mwisho, nikaona ulivyomdondokea Ivuga na yale magari.. lol

Upo we mdada? Thread ya B.O.G nimeifuatilia mwanzo mwisho, nikaona ulivyomdondokea Ivuga na yale magari.. lol

miye namilik baiskeli na shamba la migomba, nitawawekea picha punde.[/QUO
tunasubiri picha lol,usijali kila mtu mungu kaumba wa kufanana naye.....wewe endelea kutafuta kwa bidii wa kwako yupo mahali anakungoja
hapana ...ok Boss yaishe.Vipi umejuaje mkuu? Au huwa wanaleta taharifa kwako?
Vip ulimpata toka 2011?[emoji3][emoji3]
Aisee hivi kipindi hicho hukunionaga we mhenga?weka picha ..wadada kibao hapa JF wapo hawana watu aisee...i wish you kila la kheri
Wewe ni kiwembe. Unamsahau maria uliyempa mimba ukaikataa akajitoa jf?Bado aisee...kama vipi tuyajenge!