nahitaji mdau anaejua mikataba ya wasanii show za fiesta

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
kumekuwa na thread nyingi humu kuhusu show ya fiesta ambazo me nazani watu wanabwabwaja tu maneno sina hakika kama kuna ukweli nahitaji mtu anaejua vizuri mikataba wanayolipwa wasanii aje apa atueleze vizuri sisi ni mashabiki tunawasapot wasanii wawe na maisha mazuri sasa kuna unyonyaji unaozungumziwa na wasanii wachache
wengine wanasema msanii analipwa laki mbili kwa show baada ya msanii ruby kugomea show kuna mtu alikuja hapa na kusema alilipwa kiasi cha mil 22 kwa show 15 ambayo kwangu niliona ni haki kwa msanii huyo yaliyonyuma yapazia sifahamu
kwa anaefahamu vizuri naomba aje atupe michanganuo mana haiwezekena msanii akashut video kubwa SA aje alipwe laki 5 kwa show
 
Kwani walitumwa kushuti video South, haya mambo ya mikataba kamuulize Ruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…