Nahitaji mdau wa printout

Nahitaji mdau wa printout

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Wakuu habari,
Nilikua ishu flan nyeti inanihitaj kupata sim record print-out za kuanzia mwaka 2023 june Hadi december, na mwaka huu January Hadi February.

Hii kitu niliwahi fanyiwa na mdau mmoja wa humu humu jf kwa kulipia mwaka 2020, kwa bahat mbaya saiv naona I'd yake haiko active kbs, last seen yake Ni may 2022, nmemtumia naona PM kimya Sana na bahat mbaya hata namba yake ya simu sikuwai kua nayo.

Utaratibu tulotumia,
Aliniomba namba simu ya majaribio, kweli nikamtumia na kweli kanitumia print out ya ukweli kunako PM kwa mfumo wa PDF. Nikajiridhisha kweli jamaa sio tapeli.

Kisha tukakubaliana bei na utaratibu wa malipo, ambapo Nitatoa advance na baada ya kuzitumia Kazi ntamalizia pesa, na kweli baada ya Kazi kanipa namba ya wakala kutoa pesa, yeye akaenda kuichukua cash. Hivyo sikuwai kumjua wala kua na namba yake ya simu, ila tuliaminiana na tukafanya Kazi.

Kama Kuna mdau Yuko serious, Basi tuwasiliane
Nawasilisha wakuu
 
Fafanua
 
NGOJA WADAU WAJE
 
Back
Top Bottom