Watu wengi waliotusua kwenye biashara, huwa wagumu sana kuwa-mentor beginners. Ni wachache sana wenye moyo safi kufunguka A to Z na kummentor mtu.
Pia jitahidi wewe mwenyewe unatenga muda wa kwenda physically masokoni kuangalia hali ya demand kwa bidhaa husika, na unapata wasaha wa ku-exchange mawili matatu with madalali. Kufanya karesearch locally wewe mwenyewe ni muhimu sanaaa before you decide to take off. By so doing, utapata tu preliminary key ABCs za bizna husika na pa kuanzia. Achia keyboard and go figure wewe mwenyewe kwenye field on the ground ili kupata authentic baseline info.
Anyway, I too am closely following-up this siredi.
-Kaveli-