Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Kama unauza soda,sigara nenda kwenye makampuni hayo wanatoa hivyo vitu wanaita parasol (miamvuli mkubwa)
Wanatoa bureKama unauza soda,sigara nenda kwenye makampuni hayo wanatoa hivyo vitu wanaita parasol (miamvuli mkubwa)
Ninayo miwili wa pembe nne na wa duara ukihitaji niambie
Ninayo miwili wa pembe nne na wa duara ukihitaji niambie
Bure ndio masharti Yao ni bidhaa Yao ndio iwe kiongozi,yaani itawale displayWanatoa bure
Asante mkuuBure ndio masharti Yao ni bidhaa Yao ndio iwe kiongozi,yaani itawale display