Hiyo simple tu mkuu ila neno HALALI ondoa kichwani, ingia google search utapata crack za kutosha, mfano mi natumia version ya 2024, set up yake ina 5GB kama sijakosea so ni wewe na bundle lako tu mkuu.Office ya kawaida je? Au siku hizi hazipo? Hiyo ya kulipia kwa mwezi HAPANA!
Tayari nimeshafanikiwa. Legally kabisa ๐๐ฟHiyo simple tu mkuu ila neno HALALI ondoa kichwani, ingia google search utapata crack za kutosha, mfano mi natumia version ya 2024, set up yake ina 5GB kama sijakosea so ni wewe na bundle lako tu mkuu.