Inatakiwa yenye brand kama hiyo?Nahitaj mifuko ya aina hii. Mifuko elf 10. View attachment 2040237
Yeah nataka brand hioInatakiwa yenye brand kama hiyo?
I mean brand nameYeah nataka brand hio
Bado nahitaj mifuko ya aina hii kwa wingi , mwenye connection inapopatikanaNahitaj mifuko ya aina hii. Mifuko elf 10. View attachment 2040237
Kariakoo kwa Mchungaji hakuna?Bado nahitaj mifuko ya aina hii kwa wingi , mwenye connection inapopatikana
Naomba namba zake mkuuKariakoo kwa Mchungaji hakuna?