Nahitaji 'mifuko ya waraka' kwa bei ya jumla

kinguhj

Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
49
Reaction score
129
Nahitaji mifuko ya waraka robo kilo, nusu kilo, kilo moja na kilo mbili bei ya jumla kwa carton, anayeuza tafadhali tuwasiliane WhatsApp 0744223213.
 
Sina picha hapa,ila tukipata kampuni yoyote fresh tu
 
Anatakiwa aende kariakoo shimoni, kule aulizie mtaa unaitwa Pemba. Huko pemba akifika aulizie jamaa mmoja anaitwa Mkongwe.
Mtaa wa pemba naufahamu,ofisi ya huyu ndugu mkongwe ipo kwa upande gani pale?mimi naufahamu vizuri ule upande wenye turubai nyingi na mizani.
 
Mtaa wa pemba naufahamu,ofisi ya huyu ndugu mkongwe ipo kwa upande gani pale?mimi naufahamu vizuri ule upande wenye turubai nyingi na mizani.
Mkongwe anajulikana kona hizo zote, anafunguaga duka saa 4. Na ukileta ujinga anakurudishia hela yako hauzi.. hana mbambamba wala haraka na maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…