senatorb52
Member
- Jan 2, 2014
- 6
- 1
Nahitaji Mining Supervisor awe na sofa zifuatazo:
1. Awe na umri kuanzia miaka 30
2. Awe na uzoefu wa Underground mining kwenye migodi mikubwa au ya kati si chini ya miaka 4.
3. Awe na shahada/Astashahada kwenye Mambo ya Mining.
4. Awe na blasting licence ambayo ipo up to date.
Waombaji wote watume maombi Yao kupitia barua pepe ifuatavyo: harrisongmb52@gmail.com kabla ya tarehe 01/06/2024.
Call:0762492055