Hello boss, mimi nina stock kubwa ya mayai ya kisasa, mayai yangu yanatoka shamba moja kwa moja nipo na system ya wafugaji wanaofuga kisasa na salama , nina uwezo wa kusambaza Dar es salaam nzima kwa kiwango cha juu na kwa yale mahitaji yako yalivyo
kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipigia simu namba 0628918325, ofisi yangu ipo kimala