Mkuu hongera kwa uamuzi wa kutaka kuachana na ukapela, lakini think twice kuhusu vigezo ulivoviweka.
Mfano umeacha mlango wazi hata kwa mwanamke aliyetoroka kwa mumewe, Je huoni kuwa kuna hatari ukaja jikuta umejiunganisha na familia ya mtu? Nakama hapa alifunga nae ndoa inayotambulika kisheria huoni kama unaweza kamatwa ugoni na kufilisiwa mpaka hiyo smartphone uliyoandikia thread hii?
mwanaume huna rijali huna haja ya kuweka vigezo....kwanza elewa wanawake (Hawa) tumeumbiwa sisi wanaume (Adamu), so just say nahitaji mwenza jinsia ke.....baaassiii,,,, wacha waje huko ufanye choice......utawakosa walio bora sbb watajiona hawana vigezo.......