Nahitaji mke aliye tayari kuolewa

Nahitaji mke aliye tayari kuolewa

MBEGU BORA

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
500
Reaction score
357
Sifa zangu, nimeajiliwa serikalini, elimu shahada, umri wangu miaka 32, nina mtoto mmoja, nipo kibaha pwani, dini muslim.
Siza za nimtajae, awe muislam, umri kuanzia miaka 20-28, elimu yoyote, eneo karibu na pwani au mikoa iliyo karibu na pwani.
Nifate PM

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeshindwa kudaka mtoto wa kizaramo huko , mbona wapo nje nje wanaotaka kuolewa mkuu,

Ila kila LA kherri mkuu, mungu akupe hitaji LA moyo wako
 
Mke aliyetayali kuolewa[emoji15][emoji15] asee serikali ina watumishi haswaa kila lakheri mtumishi
 
Sifa zangu, nimeajiliwa serikalini, elimu shahada, umri wangu miaka 32, nina mtoto mmoja, nipo kibaha pwani, dini muslim.
Siza za nimtajae, awe muislam, umri kuanzia miaka 20-28, elimu yoyote, eneo karibu na pwani au mikoa iliyo karibu na pwani.
Nifate PM

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Dah!
Umbali umenikosesha mume hivi hivi
 
Back
Top Bottom