MBEGU BORA
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 500
- 357
Apo baada ya mke nimesahau kuweka mkato ndugu, makosa ya kiuandishi tu.Mke aliyetayali kuolewa[emoji15][emoji15] asee serikali ina watumishi haswaa kila lakheri mtumishi
Nadhani unahitaji mwanamke aliyetayali kuolewa kila lakheriApo baada ya mke nimesahau kuweka mkato ndugu, makosa ya kiuandishi tu.
Dah!Sifa zangu, nimeajiliwa serikalini, elimu shahada, umri wangu miaka 32, nina mtoto mmoja, nipo kibaha pwani, dini muslim.
Siza za nimtajae, awe muislam, umri kuanzia miaka 20-28, elimu yoyote, eneo karibu na pwani au mikoa iliyo karibu na pwani.
Nifate PM
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app