Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

Joined
Jul 22, 2019
Posts
99
Reaction score
66
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mkristo nimeajiriwa serikalini elimu yangu ni degree moja

Natafuta mke umri kuanzia miaka 17 mwisho 25. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipokua msabato

wa muislam awe tayari kufunga ndoa ya kikristo mambo mengine tutayajenga wawili

Asiwe na mtoto, elimu yoyote ile tutaendelezana mbele ya safari. Asiwe kajichubua wala tattoo ya aina yoyote ile mwilini.

Awe mcha Mungu kiasi ila asizidishe sana (asiwe mlokole tafadhali.) akipatikana Dar au Tanga itapendeza

Sifa zifuatazo ni added advantage ingawa sio lazima
1. Kipato wastani(hata kujimudu angalau vocha tu)
2. Elimu angalau
3. Smart,msafi,humble

kwa mdada aliye tayari karibu PM
 
Miaka 17 sio mke ni kitoto cha kuchekeana, kununiana na kugayana. Umri anzia 24_28
tumwache huyu mleta mada tusimpangie vigezo.
Mimi nahitaji mwenye umri huo wako.
Vipi tunaweza ungana?
 
Back
Top Bottom