Nahitaji mke, lau awe graduate, mwenye kiu ya maisha

Nahitaji mke, lau awe graduate, mwenye kiu ya maisha

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
750
Reaction score
656
Wadau habarini

Nahitaji mdada ambaye ni graduate (zaidi fani ya ualimu) wa kuoa, awe na umri usiyopungua miaka 20 na isiyozidi miaka 25. Na awe mwenye kiu ya maisha, na nitafurahi zaidi akiwa na maadili ya kiislamu.

Mawasiliano
Simu:
+255 759 947 397
+255 739 947 397
Pepe: unclekaso@hotmail.com

NB: Sihitaji wa kunijaribu, wasiliana na mimi endapo tu uko na interest kama yangu.
 
Uncle naona uzi wako umechangamkiwa sana , kila la kheri .
 
Back
Top Bottom