Nahitaji mke mwema

Jf inakuharibu dogo, kuwa makini na mitandao. Mie nimemaliza kuongea na wewe kwaheri.
 
Umeamua kupeperusha ndege wangu
 
Sina wivu mie jamani,huyu jamaa alichezea ujana wake akawa anaringa now anahaha
Ah wapi.

Huyu anatafuta tudame anakula anasepa.

It's an alternate ID inayotumikaga kutafuta madem tu. Tangu ameiunga ni 2018 na ni ya kazin hiyo tu.
 
Ndo tabia yake tangu ujana wake that's hapati mke na hatapataπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Ukute ana familia pembeni.

Huyu anavizia wale wanawake ambao wapo desperate wanatafuta ndoa anawakula kwa kisingizio ana future nao.

Haiwezekani 3 years now usiwapate.
 
Ukute ana familia pembeni.

Huyu anavizia wale wanawake ambao wapo desperate wanatafuta ndoa anawakula kwa kisingizio ana future nao.

Haiwezekani 3 years now usiwapate.
Eti eee, shauri lao watakaoingia kwenye mtego
 

Unajudge kwa kusikiliza upande mmoja

Ndoa zina mengi mno halafu wanaume huanza anavumiliwa weee mke akija kumalizia mwanaume hawezi kuyabeba anatatarika tu kama chumvi kwenye moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…