Nahitaji mke mwenye vigezo hivi

Nahitaji mke mwenye vigezo hivi

Mkristo mmoja anamshukuru Mungu kwa kufikisha miaka 30 hajaoa.
Anamuomba Mungu amjalie apate mke mwema na aanefanya kazi wasaidiane maisha pia asiwe na mtoto...
Kwakua ufalme ni wako, na nguvu na utukufu hata milele! Tunakuomba Eh bwana umsikie
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rej:- Natafuta MKE.
Vigezo/
Mwembamba kiasi/mrefu kiasi/rangi yoyote.
Mkristo na awe ametokea familia ya kikristo.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri/24-29
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Mimi sasa.
Elimu/diploma
Kazi/ nimeajiriwa
Umri/30
Naishi/ Dar
Dini/ mkristo
Mungu awabariki wote.
Safi sana maelezo yamenyooka siyo wale wanachimba mgodi hadi Mika 4 mpaka mtoto hawezi kubembea tena
 
Back
Top Bottom