Nahitaji mke wa kuoa, nimechoka

abdukarim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
476
Reaction score
593
Niko seriosy nataka mke wa kuoa, nina miaka 32 kazi yangu mwalimu natafuta mke wa kuoa nimechoka kukaa hivi.

Vigezo;
1.Muislam atakae weza kumcha muumba wake kwa kuswali na mambo mengine

2.Umri miaka 23-28,3.Elim kidato cha nne na kuendelea na awe mrefu kdogo

Niko seriously atakae kuwa tiari aje pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok ... Wanakuja
Ila naonaga matangazo mengi ya wakiume na kike kutafuta wenza!!! Huwa hamfatilii posts eeh!?
 
umejiunga march 2017

una post 4
3 kati ya hzo unahitaji mke (hapa una nyota ya punda, kaogee maji ya mtoni )

wewe si juzi tu hapa umekuja na thread inayosema mke wako ameenda kwao kujifungua hajarudi ? mara hii tu umeshakata tamaa ? unaoa mke wapili ? zingatia sana kipato chako , !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…