Nahitaji mke wa kuoa

BL4

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
69
Reaction score
27
SIFA -----Awe mkristo ikiwezekana awe msabato .
Awe ana kazi
Asiwe alie jichubua .
Asiwe mlevi.
Awe mkarimu .
Anipende.
Awe na umri usiozidi miaka 28 naasipungue 25.
Awe mnene kiasi.

0658051775

Usilete utani
 
Mapenzi ni moyo jamani na sio kubahatiaha yeyote. Kwa hiyo yeyote atakaejitokeza na sifa hizo unauhakika utampenda?

Kuoa sio fasheni jamani ili uonekane upo kwenye ndoa, ila ni mapenzi ndo yamfanye mtu aoe haijalishi itachukua miaka mingapi
 
Nilikuwa safari jamani samahani kwa kuwa kimya ila sasa niko kumjibu kila alie na swali karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…