Nahitaji mke wa kuoa

Unahitaji mke wa kuoa...mke maana yake ni mwanamke aliyeolewa.

Nimekuelewa kwa ulewa wako ila nilikuwa sina maana hiyo nilikuwa namaana ya binti ambae hajaolewa
 
SIFA -----Awe mkristo ikiwezekana awe msabato .
Awe ana kazi
Asiwe alie jichubua .
Asiwe mlevi.
Awe mkarimu .
Anipende.
Awe na umri usiozidi miaka 28 naasipungue 25.
Awe mnene kiasi.

0658051775

Usilete utani
Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke?
 
Utaibiwa wewe angalia namna nyingine ya kutafuta mke?

Ila nimegundua wanawake wengi sana ndio maana hawaolewi
Kila mmoja anahitaji mwanamme mwenye pesa tayari

Yani hawataki kabisa kumkuta mwanaume ambae anaanza maisha

Baadae unasikia tugawane mali wengi wanakuja kuchuma wanaume muwe makini sana na wanawake kama hao
 
hamjambo wakuu

long time sana sijaingia humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…