Nahitaji mke wa kuoa

John Amigo

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
627
Reaction score
414
Mimi ni kijana umri 30 nahitaji mwanamke umri 25-30 asie na mtoto kama ana mtoto basi mzazi, mwenza labda asiwe duniani maana akiwa hai atapoteza sifa ya kinyang'anyiro.

Karibuni elimu sio lazima
 
tumwage mchele apaapa kwenye kuku wengi usije pm
 
Ila kwa Kiswahili na uandishi wako unaweza usipate mrembo
 
Reactions: BAK
Wanawake wenzangu njooni kwenye kinyang'anyiro [emoji4] [emoji4]
Hiki kitupite tu. Baba hata kuandika lugha ya taifa mtihani kikija kimalkia patatosha kweli na mie ndoto yangu mtoto aanze kimalkia toka nursery.
 
Wadada changamkieni fursa hiyo..... Kigezo ni kujua kusoma na kuandika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…