kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Mimi ni kijana umri wa miaka 29.
Mwanafunzi wa shahada ya uzamiri university of Hong Kong.
Rangi yangu ni mweusi kiasi mrefu umbo wa wastani kazi yangu mwalimu.
Vigezo vya mwanamke ninaemuhitaji;
1.Mkristo
2.Mweupe
3.Mrefu wastani
4.Umbo wastani
5.Ameajiriwa
6.Umri usizidi miaka 30
Kwa yeyote mwanamke mwenye vigezo tajwa hapo juu asisite kuni PM