Nahitaji mke wa kuoa

Bray baba

Senior Member
Joined
Oct 17, 2019
Posts
141
Reaction score
573
Mimi kijana Umri 38, elimu kidato cha nne, rangi maji ya kunde, mwembamba, Kaz mjasiriamali.

Nahitaji mwanamke wa kuoa umri 27-30, asiwe na mtoto, elimu awe kidato cha nne na kuendelea, dini awe mkristo, kabila yoyote, akiwa na hofu ya Mungu itapendeza.

Kwa yoyote aliye serious aje pm tuyajenge.
 
Hela sio matako kwamba kila mtu anazo 😔🤣🤣😕
 
Kwani ni mzee umri huo mkuu?
Nilikuwa siku zote najua eti ukishafikisha umri wa kuanzia miaka 35+, tayari jua limeanza kuzama!

Na unatakiwa uwe umeshatulia kwenye familia. Unless zitokee changamoto za kufiwa na mwenza, nk.
 
Nilikuwa siku zote najua eti ukishafikisha umri wa kuanzia miaka 35+, tayari jua limeanza kuzama!

Na unatakiwa uwe umeshatulia kwenye familia. Unless zitokee changamoto za kufiwa na mwenza, nk.
Kumbe
 
Brother ungekuwa unawafahamu baadhi ya wanawake ingependeza kuwa unawafata mwenyewe pm kujaribu bahati ila ulivopost ivo ushaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…