Nahitaji mke wa ndoa utani humu tuache

Nahitaji mke wa ndoa utani humu tuache

mannu

Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
36
Reaction score
5
Kama wewe ni mwanamke na uko tayari kwa ndoa ni pm.mimi nina miaka 38 nahitaji mke mrefu na awe mkristo asizidi miaka 38 kwa wanaoshi dar tu
 
Haya mkuu. Kila la kheri. Changamkia mdau huyo wa skype muanze mahusiano. You meet her in Skype, propose on whatsapp, marry on facebook and on and on....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kazi hiyooooo! lakini unamkatisha tmaa bana muache huenda akapata ila awe makini sana!
 
Simkatishi tamaa. Inawezekana bhana. Wacha acheze nafasi yake. kwani si lazima wawasiliane ndo step nambari wane jamani.........Na kama unavyojua siku hizi mawasiliano ni digitali kwa sana.
Tehe tehe tehe.
 
Kama wewe ni mwanamke na uko tayari kwa ndoa ni pm.mimi nina miaka 38 nahitaji mke mrefu na awe mkristo asizidi miaka 38 kwa wanaoshi dar tu

Acha ujinga wake hawatafutwi humu kwenye mitandao wewe!
 
Back
Top Bottom