Haya mkuu. Kila la kheri. Changamkia mdau huyo wa skype muanze mahusiano. You meet her in Skype, propose on whatsapp, marry on facebook and on and on....
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kazi hiyooooo! lakini unamkatisha tmaa bana muache huenda akapata ila awe makini sana!
Kama wewe ni mwanamke na uko tayari kwa ndoa ni pm.mimi nina miaka 38 nahitaji mke mrefu na awe mkristo asizidi miaka 38 kwa wanaoshi dar tu
Acha ujinga wake hawatafutwi humu kwenye mitandao wewe!