ukwajumtamu
Member
- Mar 6, 2015
- 15
- 14
Good luck!!!Habari zenu waungwana. Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili.
Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40.
Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara.
Karibuni PM
Hakuna migogoro. Ni kuzisimamia nyumba vema hapo migogoro ni ngumu kujisogezaUnabipu migogoro