madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Naomba na mimi nikuagize kama applicants watazidi idadi hitajikaKama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji
Awe mcha Mungu mwenye hofu
Asiwe mfupi awe mweupe
Awe anaswali swala 5
Asiwe mzinifu
Mwenye sifa hiz karibu pm
Sio kuchakaaa tu na kumuuwa tumuuweUnatafutwa wanawake wakuroge, wakulishe madawa hadi uchakae
Kama unahizo sifa unakaribishwa pmSababu za kutafuta mke wa pili???
Ndio wap hukoKama unahizo sifa unakaribishwa pm
Sababu za kutafuta mke wa pili???
Wewe utakua mkorofi tuN
Ndio wap huko
uko vr sana mkuu umenisaidiaAmesema mke mkubwa yupo Dar pengine muajiwa/anasimamia Biashara
Na yeye nusu ya muda anakuwa mkoani kwa ajili ya utafutaji sasa, kuepuka UZINIFU anahitaji mke mwingine wa kukaa naye huko mkoani...
Nimeandika hivi kwa kuwa kuna rafiki yangu alikuwa na mke dar akaoa mwengine ,,,huko alikokuwa anafanyia kazi zake mbali kabisa na Dar... hadi leo wake zake wapo peace sana na watoto wameshakua.....
Na mkeo atahitaji mme wa pili, maana upwiru hauna jinsiKama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji
Awe mcha Mungu mwenye hofu
Asiwe mfupi awe mweupe
Awe anaswali swala 5
Asiwe mzinifu
Mwenye sifa hiz karibu pm
Ukorofi wangu upo wapi hapo vibaya kuuliza kutaka kujua pm ni wapi ni mtaa au kijiji???Wewe utakua mkorofi tu
Na mkeo unampa ushauri gani ikiwa wewe unataka kuoa kwakuwa muda mrefu haupo nyumbani? ... au yeye hana damu?Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji
Awe mcha Mungu mwenye hofu
Asiwe mfupi awe mweupe
Awe anaswali swala 5
Asiwe mzinifu
Mwenye sifa hiz karibu pm
Hapo "asiwe mzinifu" maana yake awe bikra auKama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji
Awe mcha Mungu mwenye hofu
Asiwe mfupi awe mweupe
Awe anaswali swala 5
Asiwe mzinifu
Mwenye sifa hiz karibu pm
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji
Awe mcha Mungu mwenye hofu
Asiwe mfupi awe mweupe
Awe anaswali swala 5
Asiwe mzinifu
Mwenye sifa hiz karibu pm
Kwanini usigawanyike, mwanaume kuwa na mke mmoja ni kujitesa tuMoyo augawanyiki mara mbili wapili utompenda tulia na mkeo kemea hilo pepo wa kuwaza kuoa mke wa pili.