Nahitaji mke

Davey 2017

Senior Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
109
Reaction score
133
Habari za leo wana JF,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo.

Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano ni PM.

Asanteni
 
ukiwa na familia utaweza!!!!! maisha yako juu au wewe nimulokole mnajipanga matumaini tu
 
 
Mshirikishe Mungu sana katika ombi lako nadhani kupitia yeye utafanikiwa maana mke/mume mwema utoke kwa Mungu endapo ukimshirikisha atakuonyesha Yule aliempanga kwa ajili yako...Be blessed katka safari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…