Nahitaji mke

raymoo20211

Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
5
Reaction score
4
Mimi naitaji wife material nipo serious kbsa vigezo na mashart kuzingatiwa umri wangu ni miaka 30 ni muajiriwa kwenye private sector.so mwanamke ninae mtaka lazma awe na umri kuanzia miaka 29 mpk 25.tafadhali njoo pm kwa maelezo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema kwamba ww ni wife material?
Mwandiko wako mbaya knoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…