Naomba nitoe ushauri kwa wanaotafuta wake ama waume, hebu tuache tabia ya kuharakisha mambo, sikia huyo mke/mume you want him to be a part of you life forever, sasa tuache tabia ya ku-skip steps na kukimbilia moja kwa moja kwenye mahusiano,
Kwa wanaume wenzangu, just because mmebadilishana picha na kutupiana a few chats si sababu ya kuanza kujipa nafasi ya mchumba, unatupiwa picha kadhaa na binti na unaona ana mkia, mrembo, independent una take advantage ya desperation yake na kujifanya future husband ili tu ugegede na kugegeda na kugegeda, huna nia wala hukuwa na nia ya kuoa. Sasa kama utaishi naye mpaka mzeeke unaweza piga mahesabu ya migegedo mliyopiga, acha kukimbiza wewe
Kwa Wakina dada, tunajua kuwa ukifika umri fulani ni ngumu...kubeba ujauzito....kupata mume, let alone kuwa na mwanaume anayejielewa lakini ni bora uingie kwenye mahusiano sahihi kuliko kuzama fasta kwenye a very wrong relationship..trust me, .......sasa basi acheni kukimbiza mambo, just because wewe ni mrembo, una mkia, uko independent, mature sijui mpambanaji, sijui msomi, una hofu ya mungu, unapako kila unapokanyaga siyo kila mwanaume ambaye anajielewa anajitegemea na anahofu ya mungu lazima akutambue ulivyo na akuchumbie kuwa mume mtarajiwa, tambua Tabia za mtu kwa hatua zifwatazo....
1...Getting to know each other hata miezi mitatu
2...Getting to know each other hata miezi sita, i dont care mate yatanitoka na naweza kuwa nakigoli
3...Friendship, inatengeneza ukaribu na kama ana tako udenda unaanza kukutoka, hata pete utakuta mtu kaanda
4...Falling in Love + Fulfill the promises
5....Ndiyo Harakisha mambo ya kugegeda na uchumba
6...Nialike na mimi
Hebu tukue na kuacha mambo ya kisiasa kwenye mahusiano serious, kama unatafuta mume/mke mwaka wa sita hapa JamiiForums, fahamu unaruka hatua na siyo mapenzi ya Mungu kama unavyodhani, be the perfect person for your spouse, bring out the best of her/him kwa kumfahamu ...STOP THIS JAMENI
SIKIA WEWEEE
It is not a lack of love, but a lack of friendship that makes unhappy marriages
Jamani mimi bado natafuta ila kuna dalili naziona nzuri kwa mmoja wa warembo waliko humu, na wanaume wenzangu nawataarifu wapo humu, wanawake wazuri kishenzi na wapambanaji, wapooo, jaribu uone